Mchana wa leo CEO wa kampuni ya
Endless Fame Production... Wema Sepetu alipata ugeni kutoka kwa
washiriki wa Bibi Bomba (2013)...Kipindi kinachorushwa hewani na Clouds
Tv The People Station kikiongozwa na Babuu wa Kitaa... Mabibi wanne
walioonekana kuwa na uwezo katika fani ya maingizo walipata nafasi
yakujifunza baadhi ya mambo muhimu katika Tasnia nzima ya maigizo...
Wema akiwakaribisha Bibi Bomba...
Darasa likaanza sasa....
Maswali na majibu nayo yalikuwepo....
Babuu wa Kitaa akifanya yake...
Baada ya kutoa mafunzo Wema alitoa
nafasi kwa baadhi ya Mabibi kuonesha uwezo wao kwakile walichojifunza...
Pichani ni Bibi akionesha uwezo wake kwakucheza kama Boss wake Wema na
Wema akicheza kama mwajiriwa wake...
Bibi mwenye nguo ya rangi ya zambarau
alioneshesha uwezo wake alipoambiwa amwage chozi baada ya kupewa
taarifa kutoka kwa mfanyakazi wake wa ndani kuwa amemuona mumewe akiwa
Bar na mwanamke mwingine.... LOL!
Picha ya pamoja....
Bestizzo
No comments:
Post a Comment