Taarifa ya serikali imesema kuwa Bwana Mandela
bado yuko hospitali mjini Pretoria na kwamba bado mahtuti, lakini hali
yake imetulia.
Kulazwa kwa muda mrefu kwa kiongozi huyo kumewatia wasiwasi raia wa taifa hilo na ulimwengu kwa jumla.Mandela ambaye ana umri wa miaka 95, alikuwa Muafrika wa kwanza kuwa rais wa taifa la Afrika Kusini, na anaheshimiwa na wengi kama baba wa taifa.Via BBC Swahili.
No comments:
Post a Comment