Msanii
wa kundi la sanaa kutoka Bariadi akicheza na nyoka aina ya Chatu wakati
wa uzinduzi wa Ujenzi wa Barabara ya Bariadi –Lamadi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wananchi waliohudhuria ufunguzi wa Barabara ya Bariadi Lamadi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Ujenzi John Pombe Magufuli(watatu kushoto),Mbunge wa Bariadi Mhe.
Andrew Chenge(kushoto)pamoja na viongozi wengine w akifunua kitambaa
kuashiria kuweka jiwe la msingi na kuzindua ujenzi wa Barabara ya
Bariadi-Lamadi yenye urefu wa kilometa 71.8 huko enelo la Old Maswa mkoa
mpya wa Simiyu.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipanda mti wa kumbukumbu katika eneo la Old
Maswa muda mfupi baada ya kuzindua ujenzi wa barabara ya kilometa ya
Bariadi-Lamadi 71.8 huko eneo la old Maswa, Mkoani Simiyu.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Ujenzi John Pombe Magufuli(pembeni
ya Rais kulia) pamoja na viongozi wengine akikata utepe kuashiria
kuzindua rasmi ujenzi wa Barbara ya Bariadi Lamadi yenye urefu wa
kilometa 71.8 huko eneo la Old Maswa.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Bwana Saguda Kasili mlemavu
ambaye pia ni mtendaji wa kijiji cha Ng’wang’wali wakati aliposimama
kijijini hapo kuwasalimia wananchi wa eneo hilo.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi Mradi wa Umeme
katika kijiji cha Nkololo wilayani Bariadi, Mkoa wa Simiyu .Weninge
katika picha kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mh.
Steven Masele, Mbunge wa Bariadi Mhe.Andrew Chenge(wapili
kushoto),Paroko wa Nkololo Padri Paulo Fegan(wanne kushoto) na kulia ni
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Pascal Mabiti.
No comments:
Post a Comment