Na Mwandishi Wetu.
KAMPUNI
 ya usambazaji wa Filamu nchini Tanzania na bidhaa mbalimbali ya DJ 
Marketeng and promosheni chini ya mkulugenzi wake Daniel Haule mwishoni 
mwa wiki iliyopita walitoa msaada wa sabuni ya  unga ya Twiga  ambayo 
wanazisambaza  na kuwapatia  watoto wanaoishi katika mazingira magumu wa
 kituo cha Uhuru Mchanganyiko Dar es salaam zawadi ya sabuni hizo
mbali
 na sabuni hizo za twiga walitoa na baadhi ya nguo kwa watoto wanaoishi 
hapo mkurugrnzi huyo ambaye amewaomba watu mbalimbali kusaidi watu wenye
 maitaji maalumu kama hawo ambao wengine ni walemavu wa macho
akielezea
 historia yake Haule ambaye ni mkurugenzi kwa sasa amesema unajua mie 
nimelelewa katika mazingila magumu sana kifupi mimi ni mtoto wa mtaani 
ambapo maisha mengi nimeishi kwenye mitaa nikiwa nalala nje
hivyo
 nimefutika katika kidogo nilicho nacho leo nakula na wenzangu naomba 
watu wawe na moyo wa kujitoa ili kusaidia maisha ya watoto hawa ili 
waonge mbele
nae Msemaji
 wa Kampuni ya usambazaji wa Filamu ya DJ Marketing and Promoshen, 
Seraphine Baraka amesema huu ni mwanzo tu wa kujenga mahusiano hivyo 
tunajipanga ili mradi kila wakati tuwe tunawakumbuka mana maisha haya 
awajajitakia bali ni mungu ndie muweza wa kila jambo
Kampuni
 hiyo ambayo kwa sasa inatamba na filamu zake mbili za Dasmila na 
Trouble Make ambazo zimeshirikisha wasanii mbalimbali wanaotamba katika 
tasnia hiyo
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment