EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Monday, November 25, 2013

MAGARI YA WEMA YAGEUZWA GESTI

TAARIFA ikufikie kuwa chanzo cha Mkurugenzi wa Endless Fame Productions, Wema Isaac Sepetu kutimua baadhi ya wafanyakazi wake akiwemo dairekta wake ni ufuska uliokubuhu huku magari yake yakigeuzwa gesti au danguro.
Wema Sepetu.
‘NI TOO MUCH’
Kwa mujibu wa chanzo chetu, Wema alifikia hatua hiyo hivi karibuni ili kuficha skendo hiyo kubwa kwa sababu ilikuwa ‘too much’.
Ilifahamika kuwa pamoja na Wema kumpenda dairekta huyo kiasi cha kumwachia magari yake kutokana na ubunifu wake na uchapaji kazi lakini ilifika mahali akamshindwa.
“Alimpa uhuru wa kufanya kila kitu ikiwemo kutumia magari yote kama kiongozi wa kampuni,” kilisema chanzo hicho na kuongeza:
“Kweli jamaa alikuwa anatanua kila mahali. Mara Uhuru Peak, mara Coco Beach akiwa na totozi.
COCO BEACH, KINONDONI
“Kuna siku, moja kati ya magari ya Wema lilinaswa pale ufukweni Coco Beach likinesanesa na baada ya muda alishuka mwanamke akijitengenezatengeneza nguo zake.
“Ukiacha hiyo kuna siku nyingine lile jeusi lilinaswa maeneo ya Kinondoni ambapo mabinti walikuwa wakipishana kuingia na kutoka.”

TAARIFA MEZANI KWA WEMA
Ilielezwa kuwa habari za magari yake kutumika kwa ufuska zilimfikia Wema ambaye alimtimua dairekta huyo na wenzake waliokuwa wakitumia magari hayo ‘kung’olea’ watoto wazuri.
“Wema ana mashabiki sana hivyo wakiona magari lake wanadhani ni yeye ‘so’ wakijichanganya tu wanaingia wenyewe kwenye kumi na nane za washikaji na kujikuta wakiwafaidisha,” kilisema chanzo.
Ilidaiwa kuwa ilifika hatua wasichana wa mjini wakayajua magari yote ya Wema, jambo ambalo ni hatari kwani staa huyo anaweza kuvamiwa na kuhatarisha maisha yake.
Lakini ili kunusuru yote hayo ndipo Wema akafikia hatua ya kuchukua uamuzi huo mgumu.
WEMA ANASEMAJE?
Katika kupata mzani wa habari hiyo, gazeti hili lilimsaka Wema lakini hakupatikana kwa njia zote badala yake alipatikana mratibu wa shughuli zote za kampuni hiyo, Petit Man ambaye alisema:
“Yaah…ni kweli ishu hiyo imetokea. Unajua mwanzoni bosi alikuwa akiambiwa tu na watu kuwa magari yake yanatumika ndivyo sivyo ‘so’ alipojiridhisha ndiyo akachukua uamuzi huo ili kunusuru ‘imeji’ ya kampuni.”
CHANZO CHA HABARI NA GLOBAL PUBLISHERS

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ Redd’s Miss IFM REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate