 Washiriki walioingia Tatu Bora kutoka kushoto ni Elizabeth Mwakijambile, Emmanuel Msuya na Mellisa John.
Washiriki walioingia Tatu Bora kutoka kushoto ni Elizabeth Mwakijambile, Emmanuel Msuya na Mellisa John.
Washiriki Elizabeth Mwakijambile, 
Emmanuel Msuya na Mellisa John wamefanikiwa kuingia Tatu Bora katika 
fainali za EBSS 2013 ndani ya Escape 1, Mikocheni jijini Dar muda huu. 
Wasanii walioaga mashindano ni Maina Thadei na Amina Chibaba.
PICHA ZOTE NA GPL
 
No comments:
Post a Comment