Keki
 iliyoandaliwa na uongozi wa Benki ya CRDB tawi la Ubungo kwa ajili ya 
sherehe za kutimiza miaka 2 tangu kuanzishwa kwa tawi hilo, ambapo 
wateja wa benki hiyo walijumuika na wafanyakazi wa tawi hilo 
kusherehekea kwa pamoja.
 Meneja
 Mwandamizi wa Benki ya CRDB anayeshughulika na wateja wadogo na wa 
Kati, Eribariki Masuke, akikata keki wakati wa hafla ya kutimiza miaka 2
 kwa tawi la Benki ya CRDB Ubungo. Kulia ni Meneja wa CRDB tawi la 
Ubungo, Oswald Kweka na wa pili kulia ni Ofisa wa benki hiyo, Angelitha 
Msaki.
 Meneja
 wa Benki ya CRDB tawi la Ubungo, Oswald Kweka akizungumza  na wateja wa
 tawi hilo wakati wa hafla ya kutimiza miaka  2 tangu kuanzishwa kwa 
tawi hilo. Hafla hiyo ilifanyika Dar es Salaam. Wa pili kushoto ni Meneja Mwandamizi wa Benki ya CRDB anayeshughulika na Wateja Wadogo na wa Kati, Eribariki Masuke. 
 Meneja
 Mwandamizi wa Benki ya CRDB anayeshughulika na wateja wadogo na wa 
Kati, Eribariki Masuke, akikata keki wakati wa hafla ya kutimiza miaka 2
 kwa tawi la Benki ya CRDB Ubungo. Kulia ni Meneja wa CRDB tawi la 
Ubungo, Oswald Kweka na wa pili kulia ni Ofisa wa benki hiyo, Angelitha 
Msaki.
Meneja
 Mwandamizi wa Benki ya CRDB anayeshughulika na wateja wadogo na wa 
Kati, Eribariki Masuke (kulia), akimkabidhi zawadi mmoja wa wateja wa 
benki ya CRDB tawi la Ubungo, wakati wa hafla ya kutimiza mika 2 tangu 
kuanzishwa kwa tawi hilo. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam.

Mteja wa Benki ya CRDB, Ester Lawrance (kushoto), akipokea zawadi kutoka kwa Meneja
 Mwandamizi wa Benki ya CRDB anayeshughulika na wateja wadogo na wa 
Kati, Eribariki Masuke wakati wa hafla ya kutimiza miaka 2 tangu 
kuanzishwa kwa benki hiyo.
Maofisa wa Benki ya CRDB wakipata keki wakagti wa hafla hiyo.
Karibuni wateja wetu....Meneja Mwandamizi wa Benki ya CRDB anayeshughulika na wateja wadogo na wa Kati, Eribariki Masuke akiwapa keki wateja wa benki hiyo waliofika katika tawi la Ubungo.
 
No comments:
Post a Comment