Mzee Dude enzi za uhai wake.
MSANII wa 
kundi maarufu la vichekesho na uigizaji la Futuhi, Mzee Dude amefariki 
dunia akiwa katika Hospitali ya Rufaa Bugando iliyopo jijini Mwanza siku ya jana jioni!
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN!
 
 
 
 
 
 
 

 
No comments:
Post a Comment