Picha hiyo ilitupiwa katika mitandao ya kijamii mwishoni mwa wiki iliyopita huku ikisindikizwa na maneno kuwa wawili hao ni wapendanao hali iliyosababisha wadau wengi kupongeza kuwa ni kapo nzuri.
“Mh!
Kapo nzuri jamani, atulie sasa hapa Masogange,” mmoja wa wachangiaji
alipongeza. Alipotafutwa Masogange kwa njia ya simu, hakupokea! Jitihada
zinaendelea kuondoa utata huo.

No comments:
Post a Comment