Shigongo akizungumza kwa masikitiko jinsi watu wengi walivyo kwenye hatari ya kufa kwa ugonjwa wa ini.
…Akiwa
na jopo la madaktari. Kushoto ni Dk. Mtebe Majigo, Mganga Mkuu wa
Amana, Meshack Shing'wela (wa pili kulia) na Daktari Kiongozi Andrew
Method.
Ndeonasio
Towo kutoka Damu Salama akielezea umuhimu wa wananchi kupima damu
kubaini maradhi mbalimbali bila kusahau virusi vya homa ya ini.
Mwakilishi
kutoka SD Tanzania ambao ni wadau wa ugonjwa huo, Phillip Sawe,
akielezea umuhimu wa kupima mapema ugonjwa huo kabla mwili
haujashambuliwa.
Meneja
Mkuu wa Global Publishers, Abdalah Mrisho (kushoto) na Mwakilishi
kutoka Sanofa, Edwin Kisimbo, wakifuatilia kwa makini kilichokuwa
kikiendelea.
Dk. Majigo (wa pili kulia) akielezea ugonjwa huo unavyoambukiza kwa njia ambazo huambukiza Ukimwi.
Meshack Shing'wela akifafanua jambo.
MKURUGENZI wa Kampuni ya Global Publishers Ltd, Eric Shigongo, na
wadau mbalimbali wa afya leo walizungumzia madhara ya ugonjwa hatari wa
homa ya ini kwenye mkutano na wanahabari uliofanyika Hospitali ya Mkoa
wa Ilala, Amana Jijini Dar.Meshack Shing'wela akifafanua jambo.
Miongoni mwa wadau waliokuwa kwenye mkutano huyo ni madaktari mbalimbali, Sanofa ambao huhusika na vipimo vya ugonjwa huo, Damu Salama ambao huhusika na upimaji wa damu na SD Tanzania. Uzinduzi rasmi wa kampeni dhdi ya Homa ya Ini utafanyika Ijumaa keshokutwa katika hospitali ya Amana ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii. Dk. Seif Rashid.
(PICHA : RICHARD BUKOS / GPL)
No comments:
Post a Comment