Akipiga stori na paparazi wetu, Sandra alisema vitendo hivyo vimekuwa vikishamiri siku hadi siku kwa mastaa hususan wa filamu kwa tabia ya kupenda kuiga nchi za jirani.
“Ushoga
na usagaji ni janga kwa mastaa, matokeo yake wengine hata wakibahatika
kuingia katika ndoa wanashindwa kupata watoto kirahisi, hali inatisha,
tubadilike,” alisema Sandra.

No comments:
Post a Comment