MUIGIZAJI wa Bongo Movies, Shamsa Ford amefunguka anaumia sana na
mafanikio ya waigizaji wa Nigeria kama Genevieve kwani ndoto yake ni
kufanya zaidi ya wao.Shamsha alifunguka hayo wiki iliyopita na kudai kila siku wasanii wa nyumbani wamekuwa wakishindwa kufika levo za mastaa hao kwa kutokuwa na mipango endelevu.
“Nina ndoto kubwa sana kufikia levo za kimataifa, inaniuma kuwaona kina Genevieve natamani kufanya nao kazi, basi tu. Acha nijitume,” alisema Shamsa.


No comments:
Post a Comment