RAIS KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA CHINA JIJINI ABUJA
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na Waziri Mkuu wa China Mhe. Li
Keqiang kwa mazungumzo pembeni ya Mkutano wa Uchumi Duniani kwa bara la
Afrika jijini Abuja, Nigeria, Mei 7, 2014.Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Waziri Mkuu wa
China Mhe. Li Keqiang pembeni ya Mkutano wa Uchumi Duniani kwa bara la
Afrika jijini Abuja, Nigeria, Mei 7, 2014
No comments:
Post a Comment