Chile wakishangilia bao lao la pili lililofungwa na Jorge Valdivia dakika ya 14 ya kipindi cha kwanza.
Alexis Sanchez (kulia) ambaye pia anaichezea Barcelona, akishangilia bao la kwanza aliloifungia Chile dhidi ya Australia.
Mchezaji wa Australia, Tim Cahill (kulia) akiruka juu kupiga mpira wa kichwa kuipatia timu yake bao pekee katika mechi hiyo.
Hapiti mtu: Ivan Franjic (kulia) akimdhibiti mshambuliaji wa Chile, Eduardo Vargas.
CHILE wameibuka na pointi tatu muhimu katika Fainali za Kombe la
Dunia nchini Brazil baada ya kuilaza Australia bao 3-1. Mabao ya Chile
yaliwekwa kimiani na Sanchez, 12, Valdivia, 14, Beausejour, 90, huku la
Australia likifungwa na Cahill, 35 kwenye mchezo huo uliopigwa usku wa
kuamkia leo.VIKOSI:
Chile: Bravo, Isla, Medel, Jara, Mena, Aranguiz, Diaz, Vidal, Alexis, Valdivia, Vargas.
Benchi: Toselli, Albornoz, Silva,Carmona, Pinilla, Rojas, Orellana, Beausejour, Gutierrez,
Fuenzalida, Paredes, Herrera.
Mabao: Sanchez, 12, Valdivia, 14, Beausejour, 90.
Australia: Ryan, Franjic, Wilkinson, Spiranovic, Davidson, Leckie, Jedinak, Milligan, Oar, Bresciano, Cahill.
Benchi: Langerak, Wright, Taggart, Halloran, Bozanic, Troisi, Holland, McKay, McGowan, Vidosic, Luongo, Galekovic.
Mabao: Cahill, 35.
Mwamuzi: Noumandiez Doue (Ivory Coast)
No comments:
Post a Comment