 Stori: Imelda Mtema
Stori: Imelda MtemaMWANAMUZIKI mwenye vituko kila kukicha Bongo, Baby Joseph Madaha, ametoa dukuduku lake la moyoni na kusema kuwa kila kukicha anayatamani mapenzi ya Wema Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond’ kama angekuwa yeye.

Mwanamuziki mwenye vituko kila kukicha Bongo,  Baby Joseph Madaha akipozi.
Akizungumza na paparazi wetu, Baby alisema 
kuwa kila akiwaona Wema na Diamond anatamani sana na yeye awe kwenye 
uhusiano wenye kupendwa na kuhamasisha kama ulivyokuwa wa mastaa hao 
kiasi ambacho amefikia hatua ya kuwaonea wivu.
“Kiukweli nikiwaona hawa watu nasikia mpaka wivu na kuna wakati 
natamani niwe mimi jamani maana sifikiri kama kuna ‘kapo’ kali hapa 
Bongo kama hii jamani, naitamani hadi basi,” alisema Baby.
 
 
 
 
 
 
 

 
No comments:
Post a Comment