Mkuu
wa Wilaya ya Monduli,mkoani Arusha, Jowika Kasunga akifungua hafla ya
lishe bora iliyoandaliwa na kituo cha redio 5 cha jijini Arusha kwa
kushirikiana na wadau wa KABI, AVRDC, Hort Tengeru,Inades formulation
pamoja na airish Aid yenya kauli mbiu ya LISHE BORA KWA AFYA
yaliyofanyika katika hospitali ya wilaya ya Monduli.
Meneja
masoko wa Redio 5, Bi.Sarah Keiya akizungumza katika hafla ya lishe
bora iliyoandaliwa na kituo cha redio 5 cha jijini Arusha kwa
kushirikiana na wadau wa KABI, AVRDC, Hort Tengeru,Inades formulation
pamoja na airish Aid yenya kauli mbiu ya LISHE BORA KWA AFYA
yaliyofanyika katika hospitali ya wilaya ya Monduli.
Mganga
mkuu wa hospitali ya wilaya ya Monduli, Zavery Benela akizungumza
katika Hafla ya lishe bora iliyoandaliwa na kituo cha redio 5 cha jijini
Arusha kwa kushirikiana na wadau wa KABI, AVRDC,Hort Tengeru,Inades
formulation pamoja na airish Aid yenya kauli mbiu ya LISHE BORA KWA AFYA
yaliyofanyika katika hospitali ya wilaya ya Monduli.
Katibu
mwenezi ambaye pia ni diwani wa kata hiyo Isack Joseph maarufu kwa jina
la kadogoo akizungumzia hafla hiyo ambapo aliwapongeza waandaaji kwa
kuweza kuandaa shughuli kama hiyo ambayo itasaidia jamii kupata elimu
juu ya lishe bora hali itakayopelekea wao kuepuka magonjwa mbalimbali.
Taswira
katika halfa Hafla ya lishe bora iliyoandaliwa na kituo cha redio 5 cha
jijini Arusha kwa kushirikiana na wadau wa KABI, AVRDC,Hort
Tengeru,Inades formulation pamoja na airish Aid yenya kauli mbiu ya
LISHE BORA KWA AFYA yaliyofanyika katika hospitali ya wilaya ya Monduli
Sehemu ya wageni waliohudhuria hafla hiyo.
Meneja mbunifu wa redio 5, Vicky Mwokoyo (kulia), meneja biashara, Angela Maina(katikati)
wakiwa wanamkabidhi vifaa vya upimaji magonjwa kwa mganga mkuu wa
hospitali ya wilaya Monduli Zavery Benela iliyotolewa na kampuni ya
Tan Communication Media inayo miliki kituo cha Radio 5 chenye makao
yake makuu jijini Arusha.
Semio Sonyo (kulia) na Yacub Simba watangazaji wa redio 5 wakiwa wanafatilia elimu juu ya lishe bora.
Mkurugenzi
wa Tan Communication Media inayo miliki kituo cha Radio 5 chenye
makao yake makuu jijini Arusha Bw Robert Francis akiwa anapata vyakula
vya mboga mboga kwa afya.
Mtafiti kutoka Horti Tengeru Silvest Samali akiwa anaongea katika hafla hiyo.
Wadau wakiwa wanafatilia.
Afisa kilimo Arusha DC Bi.Lucy Mvungi akiwa anaelezea umuhimu wa kula mboga za majani kwa afya.
Mratibu
wa lishe Bi.Aisha Msangi akiwa anatoa elimu katika hafla hiyo ambapo
alisema kuwa lishe bora ni ile yenye mlo kamili kwa maana ya
wanga,protini ,mafuta,vitamini na madini.
Hapa wadau wakiwa wanapatiwa elimu ya namna ya kutengeneza supu ya maboga.
Mkuu wa Wilaya ya Monduli, mkoani Arusha, Jowika Kasunga akiwa anapata chakula cha mboga mboga.
Katibu mwenezi ambaye pia ni diwani Isack Joseph akiwa anapata keki iliyotengenezwa na mbegu za mchicha.
Meneja masoko wa Redio 5Bi.Sarah Keiya akiwa anafurahia chakula cha mboga mboga.
No comments:
Post a Comment