Majembe
ya kazi wakiwajibika jukwaaani ili kutoa burudani ya nguvu kwa
mashabiki wao ndani ya uwanja wao wa nyumbani Thai Village Kutoka
kushoto ni Joniko Flower akifuatiwa na Sony Masamba (katikati) pamoja na
Sam Mapenzi a.k.a asali ya warembo. Mwambie yule na yule na wale
tukutane pale kati kwa uchakavu wa Tshs 5,000 tu getini.
Skylight
Band Divas wakishirikiana kwa pamoja kutoa vocal tamuuuuuuu ndani ya
kiota cha maraha Thai Village. Wa kwanza kushoto ni Mary Luvcos, Digna
Mbepera (katikati) pamoja na Aneth Kushaba AK47.
Na hivi ndio vile mashabiki wa Skylight Band wanavyofurikaga kwenye kiota cha maraha cha Thai Village Masaki jijini Dar.
No comments:
Post a Comment