
Akipiga stori na paparazi wetu, Lulu
alisema yeye na Kadinda ni marafiki wa kweli na amekuwa akiinjoi maisha
yao kwa kushauriana masuala mbalimbali ya kimaisha tofauti na wengine
wanavyojiongeza.

“Kadinda ni mtu wangu wa nguvu hakuna kingine zaidi ya urafiki wa kawaida, manenomaneno ni kawaida kwa wanadamu,” alisema Lulu.
No comments:
Post a Comment