
Ben Kiko enzi za uhai wake.
ALIYEKUWA mtangazaji
 maarufu wa Radio Tanzania, Ben Kiko, amefariki dunia usiku wa kuamkia 
leo Oktoba 31, 2014 akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar
 es Salaam alipokuwa akitibiwa.Kiko amefariki baada ya kusumbuliwa na maradhi ya figo kwa muda mrefu.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN.
No comments:
Post a Comment