Stori: Mayasa Mariwata
STAA wa filamu Bongo, Rose
 Ndauka amesema kuwa kwa sasa yupo bize na malezi ya mwanaye hivyo hana 
mpango wa kuwa na mwanaume yeyote hata awe pedeshee mwenye uwezo wa 
fedha kiasi gani kwani mwenyewe anajitosheleza.
Akipiga stori na paparazi wetu alisema, kipindi hiki hafagilii kabisa
 mambo ya mabwana na wala hahitaji mapedeshee kwa kuwa yeye mwenyewe ana
 uwezo wa kujitosheleza kifedha. “Mimi sina bwana kwa sasa na wala 
sihitaji hao mapedeshee, watanisaidia nini wakati nafanya kazi zangu 
zinazoweza kuniingizia fedha, nina akili timamu, nina miguu na nina 
macho sasa kwa nini nitegemee pesa ya mtu?” alihoji Rose.Kwa mara ya kwanza...

No comments:
Post a Comment