Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akifungua rasmi majengo ya ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa
yaliyoko jijini Paris Jumatano jioni Januari 28, 2015. Pamoja naye ni
Mama Salma Kikwete, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Mhe Bernard Membe, Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Mhe Hamad Msauni na
Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe Mhe Begum Taj.
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akiwa na wafanyakazi wa ubalozi baada ya kufungua rasmi majengo
ya ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa yaliyoko jijini Paris Jumatano
jioni Januari 28, 2015. Pamoja naye ni Mama Salma Kikwete, Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe, Mbunge wa
Jimbo la Kikwajuni Mhe Hamad Msauni na Balozi wa Tanzania nchini
Ufaransa Mhe Mhe Begum Taj.
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akisalimiana na balozi wa New Zealand nchini Ufaransa baada ya
kufungua rasmi majengo ya ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa yaliyoko
jijini Paris Jumatano jioni Januari 28, 2015. Katikati ni Balozi wa
Tanzania nchini Ufaransa Mhe Begum Taj. New Zealand ndiyo iliyoiuzia
Tanzania majengo hayo ambayo ni ya ghorofa tano ya ofisi pamoja na jengo
lingine la makazi ya balozi na maafisa wa ubalozi.
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akisalimiana na mwakilishi wa ubalozi wa Uganda nchini Uraransa
baada ya kufungua rasmi majengo ya ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa
yaliyoko jijini Paris Jumatano jioni Januari 28, 2015. Katikati Balozi
wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe Begum Taj. Ubalozi wa Tanzania ulikuwa
katika majengo ya ubaloizi wa Uganda kabla ya New Zealand kuiuizia
anzania majengo hayo ambayo ya ghorofa tano ya ofisi pamoja na jengo
lingine la makazi ya balozi na maafisa wa ubalozi.
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akiweka saini kitabu cha wageni baada ya kufungua rasmi majengo
ya ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa yaliyoko jijini Paris Jumatano
jioni Januari 28, 2015.
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akikagua na kuweka saini kitabu cha wageni baada ya kufungua
rasmi majengo ya ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa yaliyoko jijini
Paris Jumatano jioni Januari 28, 2015. Katikati Balozi wa Tanzania
nchini Ufaransa Mhe Begum Taj. New Zealand ndiyo iliyoiuzia Tanzania
majengo hayo ambayo ya ghorofa tano ya ofisi pamoja na jengo lingine la
makazi ya balozi na maafisa wa ubalozi.
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akijichanganya na wageni waalikwa ambao ni mabalozi wa nchi
mba,limbali za Afrika pamoja na wana Jumuiya ya Watanzania baada ya
kufungua rasmi majengo ya ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa yaliyoko
jijini Paris Jumatano jioni Januari 28, 2015. Katikati Balozi wa
Tanzania nchini Ufaransa Mhe Begum Taj. New Zealand ndiyo iliyoiuzia
Tanzania majengo hayo ambayo ya ghorofa tano ya ofisi pamoja na jengo
lingine la makazi ya balozi na maafisa wa ubalozi.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment