Stori: Dunstan Shekidele, Morogoro/Ijumaa Wikienda
WAKATI wagonjwa wakifa kwa kukosa dawa hata kidonge kimoja kwenye hospitali mbalimbali nchini, katika hali ya kushangaza, shehena kubwa ya madawa katika Hospitali Rufaa ya Morogoro imeteketezwa kwa moto baada ya kuharibika kwa kupita muda wake wa matumizi, Ijumaa Wikienda linakuwa la kwanza kukujuza.
Tukio hilo la aina yake lilitokea hivi karibuni mjini hapa ambapo paparazi wetu alitonywa kuhusiana na kuwepo kwa ishu hiyo ambapo alikwenda na kushuhudia lori lenye uzito wa tani 7 likisomba dawa hizo zilizoharibika kwa awamu nne mfululizo na kwenda kutupa katika dampo lililopo maeneo ya Kihonda-Viwandani.
Kwenye uteketezaji huo, mwanahabari wetu aliwashuhudia baadhi ya maafisa wa hospitali hiyo waliokuwepo kwenye dampo hilo wakitaka tukio hilo lirushwe katika vyombo vya habari lakini wengine wakakataa na kudai libaki kuwa siri.
Ilidaiwa kuwa baadhi ya maofisa waliokuwa wanataka jambo hilo liwe siri, walikuwa wakihofia kunyimwa dawa mpya na Bohari Kuu ya Taifa (MSD).
Mwanahabari wetu alipohoji sababu za baadhi ya maofisa hao kutaka kulificha tukio hilo, walimjia juu na kumtaka afute picha za tukio hilo lakini jitihada zao zikagonga mwamba kwani paparazi wetu alifanikiwa kuwatoka.
Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo walihoji kulikoni kuwe na shehena kubwa ya madawa yaliyoharibika wakati wamekuwa wakitaabika wakiambiwa dawa hakuna mara kwa mara wanapokwenda hospitalini hapo?
Alipotafutwa Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro, Godfrey Mtei na kuhojiwa kuhusiana na tukio hilo, alikiri kutokea na kudai dawa hizo zilikuwa zimeisha muda wake wa matumizi na hakukuwa na namna yoyote zaidi ya kuziteketeza kwa moto.

“Ni utaratibu wetu, dawa zikiharibika huwa tunaziteketeza kwa moto,” alisema Mtei.ANGALIA MATUKIO
MBALIMBALI YA SHEREHE YA MIAKA 10 YA THT
Msanii kutoka katika Nyumba ya kukuzia Vipaji Tanzania 'THT', Barnaba
Boy (kulia), akitumbuiza na msanii mchanga wa THT, kwenye sherehe za
kutimiza miaka 10 ya Taasisi hiyo zilizofanyika katika Ukumbi wa Escaper
One Mikocheni jijini Dar es Salaam Usiku wa kuamkia leo.
Msanii wa Hip Hop Bongo, Mwana FA (kushoto), wakiimba kwa pamoja na Ali
Kiba wimbo wa Kiboko yao waliyoshirikiana kwa pamoja kwenye sherehe za
Mika 10 ya THT usiku wa kuamkia leo.
Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe ( wa tano kutoka kushoto),
akicheza na baadhi ya wasanii wa THT, muda mfupi baada ya kukaribishwa
jukwaani hapo kwaajili ya kusema machache juu ya sherehe hizo.
Baadhi ya mashabiki waliohudhuria kushuhudia sherehe hizo wakifuatilia
kwa makini baadhi ya matukio yaliyokuwa yakijili ukumini hapo.
Msanii Barnaba Boy akionyesha umalidadi wake katika kutumia Gitaa.
Ben Pool akitoa burudani mahali hapo.
Baadhi ya wasanii wachanga wa THT, wakiimba kwa pamoja.
Amini akiimba wimbo wake mpya huku akiwa amekumbatiwa na mkewe
aliyepanda jukwaani hapo baada ya kuguswa na wimbo huo na kuanza kuangua
kilio.
Mtangazaji wa Star TV, Sauda Mwilima (kulia), akishuhudia burudani
zilizokuwa zikiendelea ukumbini hapo na Mumewe.
Baadhi ya wasanii wa THT, wakiwa katika pozi nyuma ya jukwaa lililokuwa
likitumika kutolea burudani ukumbini hapo.
Kadja Maumivu akiimba kwa hisia kali katika jukwaa hilo.
You might also like:
Copy and WIN : http://bit.ly/copynwinANGALIA MATUKIO

Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin Msanii kutoka katika Nyumba ya kukuzia Vipaji Tanzania 'THT', Barnaba

ALAEN LAUGHTON,MOHOMBI NZASI WAPO NCHINI TAYARI KWA SHOO YA ...
KENYA YASHAMBULIWA TENA NA AL-SHABAB
BATULI AJIWEKA KWA CHIEF KIUMBE
KONYAGI YAGAWA VIFAA VYA KISASA VYA KUHIFADHIA TAKA
RAIS JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA MSUMBIJI, ...
Linkwithin
Posted by Musa Shigela at 4:11 AM
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest
Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)
POSTED TITLE
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
TANZANIA ONE - MUSA MATEJA
View my complete profile
Search

Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin
Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin
No comments:
Post a Comment