Wananchi wakiwa katika
shamrashamra za kumpokea Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye
jana kwenye Ofisi ya CCM mkoa wa Ruvuma mjini Songea jana, alipowasli
kwa ajili ya kuanzisha amsha amsha ya Maadhimisho ya miaka 38 ya CCM
ambayo inafanyika Jumapili hii, Kitaifa mjini Songea kwa kuongozwa na
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete.
Mratibu wa Maadhimisho
ya Miaka 38 ya CCM, Emaanuel John Nchimbi akiwasili kwenye Ofisi hiyo ya
CCM mkoa wa Ruvuma kumpokea Nape.
Katibu wa NEC, Itikadi
na Uenezi, Nape Nnauye (kushoto) akiongoza wananchi kwenda katika maeneo
mbalimbali kuzindua mashina ya Wajasiriamali wa CCM na kuhutubia
mkutano wa hadhara, baada ya kuwasili mjini Songea.
Katibu wa NEC, Itikadi
na Uenezi, Nape Nnauye (kushoto) akiongoza wananchi kwenda katika maeneo
mbalimbali kuzindua mashina ya Wajasiriamali wa CCM na kuhutubia
mkutano wa hadhara, baada ya kuwasili mjini Songea.
Katibu wa NEC, Itikadi
na Uenezi, Nape Nnauye (kushoto) akiongoza wananchi kwenda katika maeneo
mbalimbali kuzindua mashina ya Wajasiriamali wa CCM na kuhutubia
mkutano wa hadhara, baada ya kuwasili mjini Songea.
Vijana wakiwa wameacha
shughuli zao kumshangilia Nape alipokuwa akipita mitaani mjini Songea
wakati akienda kufungua mashina ya wajasiriamali wa CCM na kuhutubia
mkutnao wa hadhara.
Mwanamke akihanikiza kwa
vigelegele kumshangilia Napa wakati wakipita kwenye moja ya mitaa
maarufu ya mjini Songea wakati akienda kufungua matawi ya Wajasiriamali
wa CCM na kuhutubia mkutano wa hadhara.
Kina Mama wakimshangilia Nape wakati akipita kwenye mita hiyo.
Nape akiwashukuru wananchi waliokuwa wakimshangilia wakati wakipita kwenye mitaa hiyo.
Baadhi ya viongozi wakimsubiri kumlaki Nape kwenye Ofisi ya CCM wilaya ya Songea mjini jana.
Nape akisalimiana na viongozi kwenye Ofisi hiyo ya CCM wilaya ya Songe mjini.
Nape akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya CCM Songea mjini jana.
Nape akikata utepe kuzindiuashina la wakereketwa wajasiriamali wa CCM katika Stendi ya mjini Songea.
Nape akipandisha bendera ya CCM kuzindua tawi hilo la CCM kwenye Stendi ya mabasi mjni Songea.
Nape akimsalimia Mjumbe wa Shina namba 12, Margareth Mtivila, Songea mjini.
Nape akipandisha bendera kuzindua shina la wakereketwa wajasiliamali wa CCM Liziboni mjini Songea.
Ofisi ya CCM iliyozaa shina hilo la wakereketwa ilizinduliwa na Paul Sozigwa.
Nape akimkabidhi kadi ya
Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Hadija Nyoni, baada ya kuzindua shina
hilo. Jumla ya Vijana 89 walikabidhiwa kadi hizo.
Nape akizindua tawi la CCM Liziboni.
Nape akizindua Mradi wa Ujenzi wa mabanda ya Biashara Kata ya Lisiboni.
Nape akipanda mti wa kumbukumbu baada ya kuzindua ujenzi wa mradi wa vibanda hivyo vya Biashara, Liziboni.
Nape akiingia kwenye jengo la Ofisi ya CCM tawi la Mji Mwema, wilaya ya Songea mjini.
Nape akipaka rangi kwenye Ofisi hiyo ya CCM tawi la Mjimwema.
Nape akiwa katika picha ya pamoja na vijana wajasiriamali wa mradi wa kufuga kuku Mjimwema.
Nape akifungua shina la Wajasiriamali wa CCM Mjini Mwema.
Nape akikagua ujenzi wa Ofisi ya CCM Kata ya Ruwiko.
Nape akitoa pole kwa
familia ya askari wa Magereza, wakati wa maziko ya askari huyo katika
kata ya Ruwilo, wilaya ya Songea mjini.
Nape akitazama picha ya askari huyo ambaye amefariki kwa ajali.
Nape akiwapa pole ndugu wa Marehemu huyo.
Nape akizindua shina la Wakereketwa wa CCM, tawi la Chuo Kikuu cha St. Joseph Songea mjini.
Bibi Riziki Ngonyani (92) wa mjini akishangilia wakati wa uzinduzi wa shina hilo la St. Joseph.
Nape akiagana na baadhi ya viongozi wa CCM shina la Chuo Kikuu cha St. Joseph mjini Songea.
(Picha na Bashir Nkoromo)
No comments:
Post a Comment