EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Monday, February 9, 2015

Ivory coast wababe Afrika

Wachezaji wa Ivory Cost wakishangilia ushindi.
Bata, E. Guinea
NAHODHA wa Ivory Coast, Yaya Toure ambaye pia ni Mchezaji Bora wa Afrika, ametimiza ndoto zake kwa kuliongoza taifa lake kutwaa ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2015 kwa kuifunga Ghana kwa penalti 9-8, usiku wa kuamkia leo.
Ivory Coast ambayo imekuwa ikikosa kombe hilo katika dakika za mwisho licha ya kuwa na wachezaji wengi wanaoaminika kuwa bora, imetwaa ubingwa huo kwenye Uwanja wa Bata ikiwa ni baada ya miaka 23 kupita kwani mara ya mwisho ilitaa mwaka 1992.
Mpaka dakika 90 za mchezo huo zinakamilika, matokeo yalikuwa 0-0, licha ya kuongezwa dakika 30 bado timu zote zilishindwa kupata bao licha ya kuwa kulikuwa na kosakosa nyingi hasa dakika ya mwisho.

Ghana ndiyo iliyoanza kupata matumaini ya kutwaa ubingwa huo baada ya kupata penalti mbili za awali huku wapinzani wao wakikosa zote.
Kibao kiligeuka na mpaka penalti tano zinakamilika kwa kila upande, matokeo yalikuwa ni 3-3, ndipo zikaanza kupigwa mojamoja ambazo zilienda mpaka penalti ya 11.
Kipa wa Ghana, Brimah Razak ndiye aliyekosa penalti ya mwisho kisha mwenzake wa Ivory Coast, Boubacar Barry mwenye umri wa miaka 35 akafanya kweli kwa kufunga. Hiyo ilikuwa ni baada ya wachezaji wote wa ndani kupiga mikwaju hiyo na ngoma kuwa mbichi kwa kila timu.
Kabla ya mechi ya jana, mara ya mwisho Ivory Coast ilitwaa ubingwa huo mwaka 1992 kwa kuifunga Ghana katika fainali, wakati Ghana yenyewe ilitwaa mwaka 1982 kwa kuifunga Libya kwa penalti.
Nyota wa Ghana, Christian Atsu, ndiye aliyeibuka mchezaji bora wa michuano hiyo.

Kwingineno, Barcelona imezidi kuipumulia Real Madrid kisogoni kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya Hispania (La Liga) kufuatia kuifunga Athletic Bilbao mabao 5-2 jana, huku Lionel Messi akifunga mawili. Luis Suarez alitoa gundu kwa kufunga bao lake la kwanza La Liga. Mabao mengine yalifungwa na Neymar na Pedro.

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ Redd’s Miss IFM REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate