EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Tuesday, February 10, 2015

NALE: KUDANGANYA UMRI IMEKUWA FASHENIMakala: SHANI RAMADHANI
KATIKA Live Chumba cha Habari cha Global Publishers, leo hii tunaye Miss Universe 2014, Nale Boniface ambaye ameweka wazi siri ya urembo na kusema kuwa kujiamini ni sifa mojawapo ya kumfanya mtu aitangaze vizuri nchi yake.
Presenta wa Global TV Online, Pamela Daffa akiongea na mwakilishi wa Miss Universe Tanzania 2014, Nale Boniface.
Katika mahojiano na safu hii huku akirekodiwa na timu nzima ya Global TV Online ambapo tayari yamerushwa jana kupitia tovuti ya  www.globaltvtz.com kwenye Kipindi cha Mtu Kati, Nale alifunguka;
Mwandishi: Ulianzia wapi mpaka ukafikia kushiriki Miss Universe?
Nale: Sijaanza jana, Mwaka 2013 nilianzia Miss Tanzania ambapo nilikuwa Miss Chang’ombe, 2013 nikawa Miss Temeke na kufanikiwa kuingia Miss Tanzania, nikafika mpaka 15 bora na kuwa Top Model, nikawa Balozi wa Marie Stopes Tanzania sikukata tamaa nikaingia Miss Universe na kuiwakilisha nchi katika Miss Earth na pia nikapata nafasi ya kushiriki Miss Universe pale Florida Miami.
Nale Boniface katika pozi ndani ya studio za Global TV Online.
Mwandishi: Miss Earth ni nini?
Nale: Ni shindano zima la urembo ambapo timu nzima ya Miss Earth inatusaidia sisi warembo kufanya kazi za jamii na ndiyo maana timu yake nzima ina shughulika na masuala ya mazingira na namna ya kuziwakilisha nchi zetu katika masuala ya utalii.

Mwandishi: Ni vigezo gani huwa wanaangalia pindi mtu anapotaka kushiriki Miss Universe?
Nale: Sanasana wanachokiangalia ni kujiamini na uzuri, yaani lazima uwe unajiamini ndiyo kigezo cha kwanza uzuri baadaye watu wanaangalia moyo wako na namna ambavyo utaiwakilisha nchi yako.
Mwandishi:  Inaonekana Miss Universe haina nguvu kama Miss Tanzania, unahisi tatizo ni nini?
Nale: Hamna tatizo lakini Miss Tanzania ilikuwa kabla ya Miss Universe na kitu chochote kikubwa lazima kianzie chini.
Mwandishi wa Burudani wa Global, Andrew Carlos akipozi na Nale.
Mwandishi: Tukimzungumzia yule Mnigeria na nafasi aliyoshika. Je, walikuwa wanaangalia vigezo gani?
Nale: Hiyo nafasi ilikuwa ni sisi warembo wenyewe tulikuwa tunataja watu, ikatokea amepata kura nyingi lakini inategemea aliishi vipi na watu.
Mwandishi:  Tumezoea kuona warembo wanadanganya umri wao, tatizo ni nini?
Nale: Mimi nina miaka 23. Hapo kwenye kudanganya siwezi kuliongelea sana lakini naweza nikasema ni fasheni, unajua mtu anatamani ushiriki lakini anashindwa kupata nafasi ndiyo maana baadhi hudanganya umri.
Mhariri wa Gazeti la Ijumaa Wikienda, Sifael Paul akiwa na Nale.
Mwandishi: Unazungumziaje suala la Miss Tanzania kufungiwa?
Nale: Kwakweli limenigusa, ndiyo makosa yametokea lakini wasingeifungia kwa sababu kuna warembo wengi wana ndoto za kutimiza malengo yao .


No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ Redd’s Miss IFM REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate