Zari
ameamua kutupia picha hiyo kwenye akaunti yake ya Instagram akionyesha
kuwa mpenzi wake anakubalika vilivyo miongoni mwa warembo.Wengi wa mashabiki wa Zari the Boss Lady wameonekana kuvutiwa na picha hiyo na kitendo cha mrembo huyo kuamua kuachia picha hiyo.
Hizi ni baadhi ya comments za mashabiki baada ya Zari kuweka picha hiyo:
No comments:
Post a Comment