Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika kikao cha viongozi wa dini cha
mashauriano kilichofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha
Julius Nyerere jijini Dar es salaam jana.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika kikao cha mashauriano cha
viongozi wa dini kilichofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha
Kimataifafa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Februari jana. Kulia
ni ni Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam ,Alhad Salum Musa.
Baadhi
ya washiriki wa Mkutano wa viongozi wa dini wa mashauriano uliofanyika
kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere
jijini Dar es salaam jana.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akimsikiliza Waziri wa Katiba na Sheria, Dr. Asha
Rose Migiro katika mkutano wa mashauriano wa viongozi wa dini
uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius
Nyerere mjini Dar es salaam jana.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya viongozi wa dini baada
ya kuzungumza katika mkutano wao wa mashauriano uliofanyika kwenye
kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es
salaam jana.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa dini
mara baada ya umalizika kwa kikao chao kilichofanyika kwenye Kituo cha
Mikutano cha Kimataifafa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam
Februari jana.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment