MASIKITIKO! Baada ya mrembo Wema Sepetu kutupia ujumbe kupitia
mtandao wa Instagram kuwa si kwamba hapendi kuzaa bali hana uwezo wa
kufanya hivyo mashabiki wake wengi wameonekana kuumizwa na taarifa hiyo.
Wengi wa mashabiki wameonekana kumpa ple Wema na kumtia moyo kuwa ipo siku naye atapata mtoto na kuitwa mama.
Wema aliamua kuandika ujumbe huo baada ya kushambuliwa na baadhi ya mashabiki wasiomtakia mema alipompongeza mwanamitindo Hamisa Mobeto aliyejifungua hivi karibuni.
Wengi wa mashabiki wameonekana kumpa ple Wema na kumtia moyo kuwa ipo siku naye atapata mtoto na kuitwa mama.
Wema aliamua kuandika ujumbe huo baada ya kushambuliwa na baadhi ya mashabiki wasiomtakia mema alipompongeza mwanamitindo Hamisa Mobeto aliyejifungua hivi karibuni.
Hizi ni meseji za baadhi ya mashabiki waliomtia nguvu Wema...
Ujumbe aliouandika Wema Sepetu huu hapa:
Ujumbe aliouandika Wema Sepetu huu hapa:
Ningekuwa na uwezo wa kuzaa ningekuwa
nimezaa muda mrefu sana... But sina... Na siwezi kumkufuru mwenyezi
mungu.... Au mngependa niwe nawaambia jinsi ninavyo hangaika usiku na
mchana kupata mtoto wangu mwenyewe... Is dat wat u want...? kila
ntakachofanya kwa ajili ya tumbo langu basi nitangaze... Au mnadhani
siumii mnavyosema kuhusu maswala ya mtoto... Kumbukeni na mimi pia ni
binaadam... Nina moyo kama nyie... Au mnadhani napenda kuona wenzangu
wana watoto au wana ujauzito alafu mimi sina hata wa kusingiziwa...
Mnaona nafurahia sio.... Hivi mna nini jamani...
Yaani mtu unaweza weka post kwa nia nzuri
then people jus come from nowea wanaanza kukuandikia maneno ya kukuumiza
kabisa nafsi hadi mtu unakaa unajiuliza umemkosea nini mwenyezi
Mungu... Kwani kuna niliemkosea yoyote mpaka muanze tu kunikashif na
kunitolea maneno mazito namna hio... Kisa mtoto... Mnadhani naipenda hii
hali... Hata mimi natamani kuitwa mama na hakuna kinachoniuma kama
hicho....
So mnadhani sijui kama umri unaenda na
maisha yenyewe sikuhizi mafupi anytime we die... Mnafikiria nisingependa
kuacha hata ka copy kangu siku ndo Mungu anasema ananichukua... Hata
mimi natamani ningekuwa napiga picha niko na mwanangu... I want dat with
all my life but I cant.... Sitokaa nimkufuru Mungu wangu hata siku moja
maana sijui ni kitu gani kaniandikia... But just dont rub it in... It
hurts... And im jus a human being like each and everyone of u....
Ujumbe aliouandika Wema akimtakia heri Hamisa Mobeto na kupelekea ashambuliwe kwa matusi:
They say u are nat yet a woman Until you
experience motherhood........ By da way who are they who keep saying
things everytime... They always have something to say dont they..?
Lol... Back to reality... Jamani my mdogo umezaa...! I just heard you
were pregnant... Oh my...! Hongera mamy.... You are a Woman now....!
Cant even start to tell u how much i envy you ryt now... Congratulations
either way.... Lotsa kisses to the beautiful lil angel......
@hamisamobetto @hamisamobetto @hamisamobetto Awwwwwww look at you.....
No comments:
Post a Comment