Maya
aliyasema hayo kutokana na maneno ya watu wanaomuandama kwamba hazai na
ana gundu ndiyo maana haolewi ambapo alisema siyo kweli ila anasubiri
wakati ukifika atazaa kwani ana uzazi na hajawahi kutafuta mtoto na
kumkosa.“Bado sijapata mwanaume wa kunioa na sina gundu, kuzaa bado wakati haujafika ila ukifika naamini Mungu atanipatia maana mayai ya uzazi ninayo ya kutosha,” alisema Maya.
No comments:
Post a Comment