Waziri Mkuu mstaafu, Edward lowassa akizungumza na
wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari mjini Dodoma jana kuhusu mambo
mbalimbali pamoja na safari ya matumaini.
Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa akizungumza na wahariri mjini Dodoma hao.
Wahariri wakimsikiliza kwa makini Lowassa.
Mhariri wa gazeti la Mtanzania, Denisy Msaki akizungumza
na Mbunge wa Monduli Edwrd Lowassa baada ya kumaliza mazungumzo na
wahariri nyumbani kwake mjini Dodoma.
Mhariri wa Michezo wa gazeti la Mtanzania, Mwani Nyangasa
akibadilishana mawazo na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa baada ya
mkutano na wahariri.
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, Manyerere Jackon akibadilishana mawazo na Edward Lowassa (MB).
No comments:
Post a Comment