EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Saturday, June 20, 2015

KINANA ASHAMBULIA JIMBO LA BUSANDA MKOANI GEITA

 
Katibu Mkuu wa CCM, Abdurahman Kinana akisalimia maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara alifanya katika mji mdogo wa Katoto, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama katika mkoa wa Geita, jana, Juni 19, 2015.
 
Katibu wa NEC, Itikadi na uenezi, Nape Nnauye akihutubia mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM uliofurika maelfu ya wananchi katika mji mdogo wa Katoro, katika  mkoa wa Geita, jana, Juni 19, 2015.
 
Maelfu ya wananchi wakiwa wamefurika kila kona katika mkutanowa hadhara uliofanywa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana katika mji mdogo wa Katoro, jana, Juni 19, 2015. (Picha na Bashir Nkoromo).
 
Mbunge wa jimbo la Busanda, Lorencia Bukwimba, akihutubia katika mkutano wa hadhara wa Kinana uliofanyika katika mji mdogo wa Katoro, Juni 19, 2015.

 
Katibu Mkuu wa CCM, akiongoza kulima barabara, katikaKijiji cha Nyan'kanga, akiwa katika ziara ya kukagua ilani ya CCM na uhai wa Chama katika jimbo la Bsanda mkoani Geita, jana Juni 19, 2015.
 
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki kupiga ripu, nyumba ya mganga inayoendelea kujengwa katika Zahanati ya Kijiji cha Inyala, jimbo la Busanda mkoani Geita.
 
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na wananchi katika mkutano mdogo wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Chikobe, jimbo a Busanda mkoani Geita, jana, Juni 19, 2015.
 
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana a wananchi kwa bashasha, alipowasili katika kijiji cha Nyan'kanga, katika jimbo la Buanda mkoani Geita, jana, Juni 19, 2015.
 
Wananchi wakishangilia katika Mkutano wa hadhara aliofanya Katibu Mkuu wa CCM katika Kijiji cha Nyan'kanga, katika jimbo la Busanda mkoani Geita, jana, Juni 19, 2015.
 
Katibu Mkuu wa CCM, akizungumzia kero ya wananchi kukosa maeneo ya wachimbaji wadogo kukosa eneo la uchimbaji kutokana na eneohilo kukaliwa na serikali na mwekezaji kwa zaidi ya miaka mitano sasa bila shughuliyoyote katika Kijiji cha Nyarugusu, jimbo la Busanda mkoani Geita.
 
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa Viti maalum Vicky Kamata, alipowasili katika Kijiji cha Nyan'kanga, jimbo la Busanda mkoan Geita, jana, Juni 19, 2015.
(Picha na Bashir Nkoromo).

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate