GEORGE
Saguda ambaye mchumba wake, marehemu Rachel Haule ‘Recho’ wiki
iliyopita alitimiza mwaka mmoja kaburini, anadai kutokewa na mzimu wake
ukimueleza mambo mbalimbali hasa akiwa katika wakati mgumu.Akipiga Saguda alisema tangu alipofariki mchumba wake amekuwa akiishi kwa mateso kwani amejaribu kuwa na mwanamke mwingine ili kupoteza mawazo lakini imeshindikana.
“Mzimu wa Recho hivi sasa unanitokea mara kwa mara hasa nikiwa kwenye wakati mgumu, anakuja na kunielekeza jinsi ya kufanya ili kulitatua tatizo husika ambapo kweli huyafuata na kujikuta nikiwa fresh,” alisema Saguda.
No comments:
Post a Comment