WIKI hii katika Dukukudu la Staa, tupo na msanii mkali wa filamu za Kibongo, Coletha Raymond ‘Koleta’ akizungumzia tabia ya wanawake kujirahisisha kwa wanaume.
“Nachukia sana tabia ya wanawake kujirahisisha, kujibweteka kwa wanaume, sipendi wanawake wasiopenda maendeleo kwa kutafuta vya kwao. Nawachukia pia watu wanafiki, wapenda majungu, wanaojifanya wananifahamu zaidi na kuongea uongo juu yangu, wakati hawanifahamu,” aliweka nukta Koleta.
No comments:
Post a Comment