
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi
kipya Shetta akisakama jukwaa kama vilivyo mjini Morogoro wakati wa
Tamasha la”WAJANJA” lililofanyika mjini humo,Tamasha hilo linaloendeshwa
na Vodacom Tanzania, litaendelea katika mikoa ya Mtwara na Tanga
likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo
kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na
tano na kutumia facebook na twitter bure.

Msanii wa muziki wa kizazi kipya
Diamond akiwa amebebwa juujuu na madansa wake wakati akitumbwiza
ishirini na tano na kutumia kwenye Tamasha la ”WAJANJA”lililofanyika
mjini Morogoro hapo jana,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom
Tanzania,litaendelea katika mikoa ya Mtwara na Tanga likiwa na lengo la
kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa
robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi facebook na twitter bure.

Diamond akikata mauno kama vilivyo
wakati wa Tamasha la”WAJANJA”lililofanyika mjini Morogoro hapo
jana,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litaendelea
katika mikoa ya Mtwara na Tanga likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi
kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma
ujumbe kwa shilingi ishirini na tano na kutumia facebook na twitter
bure.

Msanii mahiri wa muziki wa kizazi
kipya Shetta pamoja na madansa wake wakiwaburudisha wakazi wa Morogoro
wakati wa Tamasha la”WAJANJA”lililofanyika mjini humo,Tamasha hilo
linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litaendelea katika mikoa ya Mtwara
na Tanga likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa
kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi
ishirini na tano na kutumia facebook na twitter bure.

Msanii mahiri wa muziki wa kizazi
kipya Fid Q akiwapagawisha wakazi wa Morogoro kwenye Tamasha la
”WAJANJA”lililofanyika mjini Morogoro hapo jana,Tamasha hilo
linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litaendelea katika mikoa ya Mtwara
na Tanga likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa
kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi
facebook na twitter bure.

Msanii wa muziki wa kizazi kipya
Ney Wamitego akiwapagawisha wakazi wa mji wa Morogoro wakati wa Tamasha
la”WAJANJA”Linaloendeshwa na Vodacom Tanzania hapo jana,Tamasha hilo
litaendelea kufanyika katika mikoa ya Mtwara na Tanga, likiwa na lengo
la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa
robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda
mtyandao wowote na kutumia facebook na twitter bure.

Msanii mkali aliopo kwenye chati
hivi sasa Ommy Dimpoz akiwapagawisha wakazi wa mji wa Morogoro wakati wa
Tamasha la”WAJANJA”Linaloendeshwa na Vodacom Tanzania hapo jana,Tamasha
hilo litaendelea kufanyika katika mikoa ya Mtwara na Tanga, likiwa na
lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa
kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano
kwenda mtyandao wowote na kutumia facebook na twitter bure.

Umati wa wakazi wji wa Morogoro
waliojitokeza katika Tamasha la”WAJANJA”linaloendeshwa na Vodacom
Tanzania,Tamasha hilo litaendelea kufanyika katika mikoa ya Mtwara na
Tanga likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa
kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi
ishirini na tano kwenda mtandao wowote na kutumia facebook na twitter
bure.

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ney Wamitego(kushoto)akiwa
amepozi kwa picha na baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania mara
baada ya kutumbwiza kwenye Tamasha la”WAJANJA”Linaloendeshwa na Vodacom
Tanzania Mjini Morogoro hapo jana,Tamasha hilo litafanyika kufanyika
katika mikoa ya Mtwara na Tanga, likiwa na lengo la kuwaelimisha
wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi
na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda mtyandao wowote na
kutumia facebook na twitter bure.

Mkazi wa Mjini Morogoro akichagua
simu ya kununua mara alipofika katika tamasha la”WAJANJA”lililofanyika
katika uwanja wa Jamhuri mjini humo,Tamasha hilo linaendeshwa na Vodacom
Tanzania,na litaendelea kufanyika katika mikoa ya Mtwara na Tanga
likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo
kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na
tano kwenda mtandao wowote na kutumia facebook na twitter bure.

Wasanii wa muziki wa kizazi kipya
Ommy Dimpoz watano toka kushoto na Diamond wapili toka kulia wakiwa
wamepozi kwa picha na baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania,kabla ya
kupanda jukwani na kutumbwiza kwenye Tamasha la”WAJANJA”Lililoendeshwa
na Vodacom Tanzania Mjini Morogoro hapo jana,Tamasha hilo litaendelea
kufanyika katika mikoa ya Mtwara na Tanga, likiwa na lengo la
kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa
robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda
mtyandao wowote na kutumia facebook na twitter bure.
No comments:
Post a Comment