Prezdaa wa Akudo, Christian Bella ‘Obama’ wa pili kulia akiongoza mashambulizi.
Staili ya pinda mugongo.
Mdau wa burudani, Pius Ruta ‘Mzee wa Pamba’ (kulia) akiwa na repa wa Akudo Gaba Gabana.
Mzee wa Pamba na kifaa chake.
Wakiserebuka baada ya kinywaji kukolea na utam kunoga.
Bendi ya Akudo Impact ‘Vijana wa Masauti’ usiku wa kuamkia jana imefanya makamuzi ndani ya Ukumbi wa Mango Garden jijini Dar es Salaam. Yafuatayo ni baadhi ya matukio yaliyojili.
PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS / GPL
No comments:
Post a Comment