EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Monday, July 30, 2012

Kuangazia matokeo ya Olimpiki


                                                    Ryan Lochte wa Marekani
•KUOGELEA: Ryan Lochte alimuangusha Mmarekani mwenziye akiwa ni mshindi wa medali za dhahabu kwenye mashindano ya Olimpiki mara mbili Michael Phelps aliyezoa medali nane mjini Beijing mwaka 2008 na kushinda dhahabu kwenye mbio za mita 400 kwa mashindano ya kuchanganya staili tofauti.

•BAISKELI: Tumaini la Uingereza kushinda medali ya dhahabu katika mbio za baiskeli za masafa ya kilomita 250 Mark Cavendish aliondoka mikono mitupu baada ya Alexandre Vinokourov wa Kazakhstan kushinda mbio hizo.

•KUPIGA MAKASIA: Helen Glover na Heather Stanning waliweka rekodi mpya ya Olimpiki wakishinda mbio za mchujo ya washiriki wawili wawili.

•KUOGELEA: Sun Yang alijitokeza kuwa muogeleaji wa kwanza mwanaume kutoka Uchina kushinda medali ya dhahabu katika mbio za mita 400 freestyle akiweka rekodi ya mashindano haya kwenye Olimpiki.

•KUOGELEA : Ye Shiwen mwenye umri wa miaka 16 wa Uchina akavunja rekodi ya dunia kwa kuondoa sekunde moja , na kushinda mbio za mita 400 mchanganyiko wa staili.

•KUPANDA FARASI: Mary King wa Uingereza alimaliza siku ya kwanza katika nafasi ya tatu.
KULENGA SHABAHA: Nur Suryan Mohamad wa Malaysia licha ya kuwa mja mzito alishindwa kutimiza ndoto yake ya kufuzu kwa fainali ya kulenga kutoka umbali wa mita 10 kutumia bunduki ya upepo.Ingawa hakufaulu hakufa moyo.

•KULENGA SHABAHA: China ilijinyakulia medali yake ya kwanza na pia ya kwanza kwenye mashindano haya ya London 2012 katika mashindano hayo hayo ambamo Nur alishindwa kufuzu.

•MASUMBWI: Anthony Ogogo aliamsha nyota ya Uingereza na kikosi kizima kwa ushindi dhidi ya Junior Castillo Martinez kwenye ukumbi wa ExCel.

TENNIS : Mabingwa wa mashindano ya Wimbledon Roger Federer na Serena Williams walianza vizuri mashindano ya Olimpiki kwa ushindi, ingawa Federer alikua na kibarua kuliko ilivyodhaniwa.

Raia huyo wa Uswizi alipewa mtihani mkali na Alejandro Falla wa Colombia ambaye aliwahi kumsumbuwa kwenye mashindano ya Wimbledon ya mwaka 2012.Hatimaye Federer akashinda 6-3 5-7 6-3.
Serena Williams alimshinda Jelena Jankovic wa Serbia 6-3 6-1.

Kim Clijsters wa Ubelgiji anayetazamia kustaafu mchezo huu akamshinda Roberta Vinci wa Italy 6-1 6-4.
Clijsters atapambana na Carla Suarez Navarro wa Uhspania wakati Williams atachuana na Urszula Radwanska wa Poland.

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate