Mwenyekiti
wa tawi la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Washington DC,
Mh. Cosmas Wambura, akiwa na Katibu wa Chadema mkoani Arusha, Mchungaji
Amani Golugwa, walipohudhuria katika Mkutano wa kimataifa wa UKIMWI
(AIDS 2012) Washington DC uliomalizika rasmi juzi Ijumaa Julai, 27
Convention Center Washington DC.
Baadhi ya watu kutoka mataifa
mbalimbali wakimiminika kwenye jumba la Convention Center, mahali
ulipofanyika mkutano huo wa XIX International AIDS Conference (AIDS
2012) Washington D.C.
Rais wa zamani wa Marekani, Bill
Clinton akitoa hotuba ya kufunga rasmi Mkutano wa Kimataifa wa UKIMWI
uliofanyika kwa siku kadhaa mjini Washington DC siku ya Ijumaa Julai
27, 2012 ambapo mataifa malimbali yalijumuika katika kupiga vita ugonjwa
sugu duniani wa HIV.
No comments:
Post a Comment