Mtoto wa Kichina, Yu
Yu mwenye miaka mkazi wa Jimbo la Shaanxi nchini humo yupo katika wakati mgumu
baada ya miguu yake kuonekana inakua siku hadi siku kuliko sehemu nyigine ya
mwili.
Mtoto huyo
aliyezaliwa mwaka 2009 akiwa na viungo sawa, lakini muda ulivyokuwa ukienda
mbele, miguu yake imekuwa ikikua kwa kasi hadi sasa anaonekana kama mzee mwenye
miaka 65.

Inadaiwa kuwa Yu Yu mwenye
miaka 3 analazimika kutembea bila viatu kwa sababu wazazi wake hawana uwezo wa
kumnunulia viatu vya kumtosha kwa miguu hiyo.
Madaktari wamsema
mtoto huyo anaweza kutibiwa kwa kufanyiwa upasuaji akapona, hivyo wazazi wake
wapo katika zoezi la kuomba fedha kutoka kwa wasamaria wema ili mtoto wao aweze
kutibiwa.
Aidha, babu wa Yu Yu
naye ameamua kuuza nguruwe wake wote kwa ajili ya kukusanya fedha za matibabu.
No comments:
Post a Comment