

Warembo
wanaowania taji la Redds Miss Sinza 2012, wakiwa katika picha ya pamoja
muda mfupi baada ya kumaliza mazoezi yao siku ya jana katika Ukumbi wa Mawela
Sinza jijini Dar es Salaam. Warembo hao wanataraji kupanda jukwaani siku ya leo Julai 13, 2012 katika ukumbi huo kuwania taji hilo na tiketi ya
kushiriki Miss Kinondoni 2012.
No comments:
Post a Comment