Serikali yabomoa majengo kando kando ya bahari Dar
Serikali leo asubuhi imeanza kubomoa nyumba zilizojengwa kando kando ya
bahari kinyume cha sheria jijini Dar es salaam.Kiasi cha majengo zaidi
ya 100,yakiwemo mahekalu ya watu wazito yanatazamiwa kubomolewa bila
fidia yoyote.
No comments:
Post a Comment