EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Wednesday, July 18, 2012

VODACOM NA NOKIA ZAINGIA KATIKA USHIRIKIANO KUPUNGUZA GHARAMA ZA SIMU.

Meneja Mkuu wa Nokia Tanzania Samson Mwajwala,akionesha aina ya simu ya Nokia Asha 200 inayouzwa kwa shilingi 149,999 pamoja na  muda wa bure wa maongezi na MB 125.Simu ingine ya Nokia Asha 302 inauzwa kwa shilingi 219,000 wateja watapata MB 500 kwa miezi sita mfululizo baada ya kuweka muda wa maongezi wa Shilingi 1000, 2000, au 5000 huku huduma ya facebook, twitter na Wikipedia zikiendelea kuwa bure,katikati Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa wa Vodacom Tanzania Bw. Mngopelinye Kiwanga na Meneja bidhaa wa Vodacom Elihuruma Ngowi.
Meneja Mkuu wa Nokia Tanzania Samson Mwajwala,akionesha aina ya simu ya Nokia Asha 200 inayouzwa kwa shilingi 149,999 pamoja na  muda wa bure wa maongezi na MB 125.Simu ingine ya Nokia Asha 302 inauzwa kwa shilingi 219,000 wateja watapata MB 500 kwa miezi sita mfululizo baada ya kuweka muda wa maongezi wa Shilingi 1000, 2000, au 5000 huku huduma ya facebook, twitter na Wikipedia zikiendelea kuwa bure,katikati Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa wa Vodacom Tanzania Bw. Mngopelinye Kiwanga na Meneja bidhaa wa Vodacom Elihuruma Ngowi.
   Meneja Mkuu wa Nokia Tanzania Samson Mwajwala,akifafanua jambo kwa waandishi wa habari juu ya aina ya simu ya Nokia Asha 200 inayouzwa kwa shilingi 149,999 pamoja na  muda wa bure wa maongezi na MB 125.Simu ingine ya Nokia Asha 302 inauzwa kwa shilingi 219,000 wateja watapata MB 500 kwa miezi sita mfululizo baada ya kuweka muda wa maongezi wa Shilingi 1000, 2000, au 5000 huku huduma ya facebook, twitter na Wikipedia zikiendelea kuwa bure,katikati Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa wa Vodacom Tanzania Bw. Mngopelinye Kiwanga na Meneja bidhaa wa Vodacom Elihuruma Ngowi.

  Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa kazini wakati wa uzinduzi wa simu aina ya Nokia Asha 200 na Nokia Asha 203, Nokia Asha 200 inayouzwa kwa shilingi 149,999 pamoja na  muda wa bure wa maongezi na MB 125.Simu ya Nokia Asha 302 inayouzwa kwa shilingi 219,000 wateja watapata MB 500 kwa miezi sita mfululizo baada ya kuweka muda wa maongezi wa Shilingi 1000, 2000, au 5000 huku huduma ya facebook, twitter na Wikipedia zikiendelea kuwa bure.
--
Dar es Salaam, Julai 18, 2012 ...
 Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania imeingia katika ubia na kampuni ya Nokia katika kutoa ofa ya aina mpya ya simu za Nokia kwa Watanzania.

Aina ya simu ambazo zimeingizwa katika ofa hiyo mpya ni simu aina ya Nokia Asha 200 na Nokia Asha 203 ambazo ni katika mpango maalum wa Vodacom wa kupunguza gharama za huduma za simu kwa vijana.
 Kupitia simu hizo, wateja wataweza kupata huduma nafuu kwa simu ya Nokia Asha 200 inayouzwa kwa shilingi 149,999 na watapata muda wa bure wa maongezi na MB 125. Kwa simu ya Nokia Asha 302 inayouzwa kwa shilingi 219,000 wateja watapata MB 500 kwa miezi sita mfululizo baada ya kuweka muda wa maongezi wa Shilingi 1000, 2000, au 5000 huku huduma ya facebook, twitter na Wikipedia zikiendelea kuwa bure.

Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa ofa hiyo, Mkuu wa Kitengo cha Vifaa wa kampuni ya Vodacom Tanzania Bw. Mngopelinye Kiwanga, amesema kuwa ofa hiyo inalenga kuongeza soko kwa kampuni hiyo na kukuza utoaji wa huduma na  uuzaji wa bidhaa, na kuongeza kuwa vijana, ambao wanachukua idadi kubwa ya watu katika taifa, ni vyema wakapata huduma nafuu za mawasiliano ili kuchangia katika ukuaji wa maendeleo ya kijamii na kiuchumi.

"Tunaamini kwa mpango huu, tutawafikia wateja wengi zaidi iwezekanavyo," alisema Kiwanga, na kuongezea kuwa kutakuwa na maboresho mbalimbali  ya mtandao na ubora wa bidhaa, suala litakalo wawezesha wateja kufikiwa na huduma na kutanabaisha kuwa zipo ofa nyingi na bidhaa ambazo kampuni hiyo inatarajia kutoa kwa wateja wake ndani ya Mwaka huu.

" Napenda kuwahakikishia wateja wetu kuwa tutaendelea kuboresha na kuleta huduma nzuri na bora kwa ajili yao ili kukidhi mahitaji yao ya kila siku na kuwa na mahusiano mazuri na wateja wetu," alisema.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Kampuni ya Nokia Tanzania Samson Majwala, amesema kuwa simu hizo zina sifa nzuri na ni rahisi kuzitumia, suala ambalo litawavutia watu wengi kununua na kuzitumia kwa urahisi.

"Simu hizi ni nzuri na rahisi kutumia. Nina imani kuwa wateja watafurahia na  kuzitumia," alisema Majwala.

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate