Askari Polisi wa Kikosi cha Pikipiki ‘Chita’ na ambao hujulikana kwa
jina jingine ‘Foda Fasta’ wameyakamata magari ya CHADEMA, yaliyokokuwa
yakipita mitaani eneo la mzunguko wa Masika yakitangaza juu ya kufanyika
kwa maandamano na mkutano wa hadhara Agosti 4, mwaka huu katika eneo la
uwanja wa Shule ya Kiwanja cha Ndege Mjini hapa ambao ulipangwa
kuhudhuriwa na Viongozi wakuu wa Chama hicho.
Magari hayo yalikamatwa na Mkuu wa Kituo Cha Wilaya cha Polisi wa Usalama Barabarani kutokana na kukaidi agizo la Polisi la
kusitisha Mkutano huo.
Magari hayo yalikamatwa na Mkuu wa Kituo Cha Wilaya cha Polisi wa Usalama Barabarani kutokana na kukaidi agizo la Polisi la
kusitisha Mkutano huo.
No comments:
Post a Comment