
Kapten
 Gadner Habash ambaye amejiunga na kituo hicho cha redio na kutangazia 
umma rasmi akizungumza na wanahabari pamoja na watangazaji wenzake, 
wanaofuatia katika picha ni Scholastica Mazula, Criford Ndimbo na Dida 
wa Mchops.

 Mtangazaji
 wa Radio Times 100.5 Scholastica Mazula akizungumza na waandishi wa 
habari kwenye magahawa wa City Sports Lounge Posta jijini Dar es salaam 
wakato alipomtambulisha rasmi Kapten Gadner Habash ambaye amejiunga na 
kituo hicho cha redio hiyo. Hivi karibuni atakuja na kipindi kipya 
kinachokewanda kwa jina la “Maskani” kitakachozungumzia mambo mbalimbali
 katika jamii, katika picha kushoto ni Gadner G. Habash mwenyewe na 
kulia ni Mtangazaji wa kipindi cha michezo Cliford Ndimbo.

 Baadhi
 ya watayarishaji wa vipindi na watangazaji katika redio hiyo watatu 
kutoka kulia ni mkoloni aliyewahi kuvuma na kundi la Wagosi wa Kaya.

Kapten
 Gadner Habash kushoto akipozi kwa picha wa mastaafu wenzake wapya 
kutoka kulia ni Dida wa Mchops, Natasha na Scholastica Mazula.
                                                
CHANZO: http://www.hakingowi.com
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment