Na Mwandishi Wetu
FAINALI za Miss Mwanza 2012, zinatarajiwa kuchukua nafasi leo ndani ya Ukumbi wa Yacht Club.
Akizungumza na Ijumaa, mratibu wa mtanange huo, Peter Omar alisema: “Kila kitu kipo sawa, maandalizi ni mazuri, tunachosubiri ni huo muda ufike ili tuweze kumpata mshindi.”
 
Kwa upande wa burudani Peter 
alisema, wakongwe wa taarab nchini, Malkia Khadija Kopa na gwiji 
Mwanahawa Ali, wanatarajiwa kuoneshana umwamba stejini sambamba na 
burudani nyingine kibao.
“Miss Mwanza ya mwaka huu ni funga kazi. Watakaokuja Yacht Club leo, watashuhudia shoo kali ambayo haijawahi kutokea. Kwanza tuna warembo wazuri, hii ina maana Miss Tanzania 2012, atatokea Mwanza,” alijigamba Peter.

No comments:
Post a Comment