
L-R: Waziri wa Mawasiliano,
Sayansi na Tekinolojia, Profesa Makame Mbarawa akipiga makofi wakati
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua kitabu kiitwacho "Lighting Fire"
kilichoandikwa na wanasayansi 31 mabingwa wa Kitanzania, kwenye ukumbi
wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Tekinolojia, Kijitonyama jijini Dar es
Salaam, siku ya Agosti 2, 2012. Aliyeo kulia ni Rais wa Tanzania Academy
of Science (TAAS), Profesa Esther Mwaikambo. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
No comments:
Post a Comment