"...Watu wengi walio katika mahusiano ya
wapenzi wengi kwa wakati mmoja wanafikiri kwamba hawako katika hatari ya
maambukizi ya magonjwa ya ngono ukiwemo UKIMWI kwa sababu wana wapenzi
wawili au watatu ambao wamekuwa nao kwa muda mrefu. Lakini kuna
uwezekano wa hawa wapenzi wakati huohuo wakawa na wapenzi wengine ambao
hawafahamiani. Kwa hali hii, wapenzi hawa wanajikuta wakiwa
wameunganishwa katika mtandao mkubwa wa ngono ambao unamuweka kila mmoja
wao katika hatari ya kuambikizwa virusi vya UKIMWI..." Dr Fatma Mrisho,
Chairperson, TACAIDS
Tuko wangapi? Tulizana
Safi sana IRENEJAMIIBlog tumeipenda hii pia tunawapa hongera sana kwa kutoa elimu kazi njema na mafakio.
No comments:
Post a Comment