EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Saturday, August 4, 2012

Wakazi wa Kogamboni waapa kumwaga damu kupinga ujenzi wa Mji Mpya "New City"

SAKATA la ujenzi wa Mji mpya wa Kigamboni, limezidi kuchukua sura mpya, baada ya wakazi wake kuapa kumwaga damu wakitetea ardhi yao kutokana na mradi huo kutofuata sheria kwa kuwashirikisha wananchi.

Mbali na hatua hiyo, wakazi hao wamesema endapo Serikali italazimisha kutekeleza mradi huo kwa kutumia nguvu, watahakikisha wanaiburuza katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita ya The Hague, nchini Uholanzi kwa kuvunja haki za binadamu.

Wakizungumza na waandishi wa habari mjini Dar es Salaam jana, wakazi hao walipinga hatua ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, kwa kushirikiana na baadhi ya madiwani wa Manispaa ya Temeke, kuendesha kampeni ya kujenga mji huo.

Akizungumzia suala hilo, kwa niaba wakazi wenzake, Mwenyekiti wa Umoja wa Wana Kigamboni, Kassim Abdallah alisema anashangazwa na hatua ya madiwani kutoa tamko kila wakati, ingawa hata siku moja hawajawahi kuwashirikisha wananchi, “Kwa mujibu wa sheria ya Ardhi Namba 3, imeeleza wazi namna wananchi wanavyotakiwa kushirikishwa katika suala la ardhi yao, tunatambua kuwa ardhi ni mali ya Serikali, lakini si kwa hili wanalolifanya hawa madiwani pasi na kutumwa na mtu. Kwa hatua hii, tupo tayari kupoteza mali na uhai wetu kupigania haki yetu na hata ikiwezekana tutamwaga damu. Tunajua mradi huu upo kisheria, lakini tunalopinga ni namna mradi huu ulivyoghubikwa na rushwa ya hali ya juu kwa watendaji wa Wizara ya Ardhi na baadhi ya madiwani.

Kwa upande wake, Ustadhi Ahmad Abdurahman, alisema Juni mwaka huu, walifanya mkutano na mbunge wao Dkt. Faustine Ndugulile, katika uwanja wa Swala, ambapo wananchi walimweleza namna ukiukwaji wa sheria ulivyofanywa katika utekelezaji wa mradi wa mji mpya.

Naye Mwarami Mwinyimvua, mkazi wa Vijimbweni alisema hatua ambayo imefikia, wananchi hawatakuwa tayari kuona wanafanyiwa ujanja katika mradi huo.

Naye Exaud Mmari, alisema wananchi wa eneo hilo ni waelewa na walio wengi akiwemo yeye anatambua vizuri sheria za nchi hivyo Serikali inatakiwa kutambua kuwa wapo makini na kutumia nafasi hiyo kuweka wazi suala la haki halina chama cha kiasa na kushangazwa na madiwani wa CCM wanaokuwa mstari wa mbele kumchafua mbunge, aliyeaminiwa na wananchi wote kwa kutetea maslahi yao.

Katika mkutamo huo, wakazi hao walitumia nafasi hiyo kufafanua kuwa mji huo wa Kigamboni, ulipimwa mwaka 1952 na kuwa ni mji wa pili kupimwa, baada ya Magomeni huku wakiitaka Serikali kutambua kuwa wananchi hawapo tayari kuburuzwa katika mradi huo.

via MTANZANIA

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate