
Mwenyekiti wa taasisi ya
Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete akiwa na aliyekuwa Naibu
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Dkt Asha-Rose Migiro baada ya Mama
Kikwete kuzindua Mpango wa Kasi ya Uwezeshaji wa Wanawake na Wasichana
leo Agosti 24, 2012 katika ukumbi wa Kilimanjaro Hyatt Regency jijini
Dar es Salaam. (Picha: Ikulu)
No comments:
Post a Comment