Kitchen Party ya Twime A Mwakiluma - Majestic Hall Usiku wa jana
Kitchen party colour-maron,siliver,light,pink.Katika picha hapo juu ni Wana Ryn Ben wakiwa katika pozi.Mc-Adelly ndani ya Majestic-Hall.
Twime A Mwakiluma ...kata keki tule....
Keki hiii ni nzuri sana
Shilwaaaaaa hatimaye.Picha ya chini ni wana Ryn Ben ....shangwe time
Shangwe time usiku wa jana.Mtunza hazina hapo na kiatu chake kizuri loh
Mc-Adelly akitoa maelezo kidogo
Dada akiselebuka hahahaha.....
Mambo ya Bahati BUkuku ndani ya kitchen Party....
Mamake Irene Mwamfupe ndani ya nyumba
No comments:
Post a Comment