Hakaheka za watalii wakimshuhudia Simba hivi leo.Simba ni mnyama muhimu sana
Hapa chini ndo"Kundi la SIMBA mara baada ya kuonekana mitaa ya mto Manyara ndani ya hifadhi ya Tarangire
Kundi la SIMBA mara baada ya kuonekana mitaa ya mto Manyara ndani ya hifadhi ya Tarangire
Kundi la Tembo Tarangire hivi leo
Tembo katika picha anajulikana kama"JOHN..ni kivutio pekee ndani ya Tarangire.Tembo huyo mwenye miaka 45 kwa sasa na ana pembe moja.
Watalii wakimshuhudia Simba hivi leo..na IRENE MWAMFUPE JAMIIBlog tulikuwepo hapo.
Nicolaus Trac kulia akiwa na mgeni wake Peter G. kutoka Uk tukiwa Tarangire national park.
Mto manyara ndani ya Tarangire Park..
Picha zote na Nicolaus Trac kutoka ndani ya Tarangire National Park.
No comments:
Post a Comment